Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Sherehe za Mahafali ya Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 04/ 20 Shahada ya Sayansi ya Kijeshiya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha katika Mahafali ya nne tarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kabla ya Kutunuku Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 04/ 20 Shahada ya Sayansi ya Kijeshi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha katika Mahafali ya nne tarehe 18 Novemba 2023.
Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 04/ 20 Shahada ya Sayansi ya Kijeshi ya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha wakiwa kwenye Mahafali ya nne tarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) mara baada ya Kuwatunuku Kamisheni katika Sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Maafisa wanafunzi Kundi la 04/ 20 Shahada ya Sayansi ya Kijeshi ya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha mara baada ya Sherehe za Mahafali ya nnetarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha tarehe 18 Novemba 2023.
Gwaride la Heshima likipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan kabla ya kutunukiwa Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy – TMA) Mkoani Arusha tarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli kwa ajili ya Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya Mkoani Arusha tarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwashukuru Wananchi waliohudhuria Sherehe za Mahafali ya 4 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa zawadi Wanafunzi waliofanya vizuri katika mafunzo kabla ya Kuwatunuku Kamisheni kwenye Sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha
Wageni mbalimbali waliohudhuria Sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya pamoja na Mahafali ya 4 ya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha