Rais Samia ashiriki Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh, nchini Morocco
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.
RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA UWKEZAJI BARANI AFRIKA MARRAKESH NCHINI MOROCCO
