Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Khalid Khalif akiwa ofisini kwake Kilosa Mbambabay
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Sterwat Nombo akielezea namna serikali ilivyotoa mabilioni kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.
Jengo jipya la Halmashauri ya wilaya ya Nyasa ambalo serikali imetoa zaidi ya shilingi biliioni 2.9 kutekeleza mradi huo ambao umekamilika kwa asilimia 100 na umeanza kuwahudumia watumishi wa Halmashauri hiyo.
Muonekano wa mradi wa hospitali ya wilaya ya Nyasa ambayo serikali imetoa shilingi bilioni 3.3 kutekeleza mradi huo kwa awamu tatu ambapo tayari hospitali hiyo inatoa huduma zote muhimu kwa wananchi wa wilaya ya Nyasa.
………………..
Na Albano Midelo,Nyasa
SERIKALI imeidhinishaNa Albano Midelo,Nyasa
SERIKALI imeidhinisha zaidi ya shilingi bilioni kumi kwa ajili ya kutekeleza shughuli za mendeleo katika Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa Ndugu Khalid Khalif wakati anazungumza na wanahabari ofisini kwake Kilosa mjini Mbambabay.
Amesema kati ya fedha hizo zaidi ya shilingi bilioni 4.1 ni fedha za ndani na zaidi ya shilngi bilioni 5.9 ni fedha za nje na kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashauri hiyo imepokea zaidi ya shilingi bilioni 7.9 sawa na asilimia 78.6 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 3.3 fedha za ndani.
“Halmashauri pia imepokea zaidi ya shilingi bilioni 4.5 fedha za nje na zaidi ya shilingi milioni 319,fedha zilizotolewa nje ya bajeti hivyo kufanya mapokezi ya fedha zote kuwa ni zaidi ya shilingi bilioni 8.2’’,alisema Khalif.
Hata hivyo amesema hadi kufikia Juni 30 mwaka huu zaidi ya shilingi bilioni 6.6 zilikuwa zimetumika kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo sawa na asilimia 80 ya fedha zilizopokelewa.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nyasa Mheshimiwa Sterwat Nombo amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kiasi cha shilingi bilioni 2.9 kutekeleza mradi wa jengo la ofisi ya Mkrugenzi wa Halmashauri ya Nyasa ambapo hivi sasa watalaam wanafanya kazi vizuri ya kuwahudumia wananchi.
Amesema serikali hadi sasa imetoa shilingi bilioni 3.3 kuboresha miundombinu ya afya katika hospitali ya wilaya ya Nyasa ambapo hivi sasa wananchi wanapata huduma zote muhimu ndani ya wilaya.
Amesisitiza kuwa miaka mitatu ya Rais Samia imeleta faraja kubwa kwa wananchi wa Nyasa na kwamba kumekuwa na mafuriko ya miradi ya mabilioni ya fedha iliyotekelezwa na inayoendelea katika Halmashauri hiyo.kutekelezwa
Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ni miongoni mwa Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma ambayo inapakana na nchi za Malawi na Msumbiji. zaidi ya shilingi bilioni kumi kwa ajili ya kutekeleza shughuli za mendeleo katika Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023.

Amesisitiza kuwa miaka mitatu ya Rais Samia imeleta faraja kubwa kwa wananchi wa Nyasa na kwamba kumekuwa na mafuriko ya miradi ya mabilioni ya fedha iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri hiyo.
Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ni miongoni mwa Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma ambayo inapakana na nchi za Malawi na Msumbiji.