Naibu
Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bideko, akisalimiana na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, PSSSF, CPA.
Hosea Kashimba, ofisini kwa Naibu Waziri Mkuu kwenye ofisi za Bunge jijini
Dodoma, Novemba 3, 2023. PSSSF iko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Naibu
Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bideko (katikati), akipokea mfuko wenye
taarifa mbalimbali kuhusu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma
(PSSSF), kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA. Hosea Kashimba, ofisini kwa Naibu
Waziri Mkuu kwenye ofisi za Bunge jijini Dodoma, Novemba 3, 2023. PSSSF iko
chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama, PSSSF, Bw. James Mlowe.
Dkt.
Bioteko (kulia), akiwa kwenye mazungumzo na ujumbe wa PSSSF ulioongozwa na CPA.
Kashimba. Wengine pichani ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama, PSSSF, Bw.
James Mlowe (wapili kushoto) na Afisa Mkuu wa Uhusiano, PSSSF, Bw. Abdul
Njaidi.