Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda kushoto akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuwasili Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoani humo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akivishwa Skafu na Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuwasili Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoani humo.wenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashid Hadidi Rashid wakati akimpatia Taarifa za Mkoa mara baada ya kuwasili Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoani humo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akimkabidhi Mwenezi Wilaya ya Kati Unguja Abdalla Khamis (MARU)Pikipiki kwa ajili ya huduma za Uenezi Wakati wa Ziara maalum alioifanya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda wapili kulia akimsikiliza Daktari dhamana wa Kituo cha Afya Wiya ya Kati Amina Hussein Pandu wakati alipotembelea kituoni hapo katika Ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda akizungumza na Mama ambae Mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mwera Pongwe katika Ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda kushoto akipatiwa maelezo na Daktari Dhamana wa Hospitali ya Wilaya ya Mwera Pongwe Muhamed Juma Nahoda wakati akitembelea sehemu mbalimbali za Hospitali hio katika Ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa Kusini Unguja.