Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ( kulia) alipokuwa akizungumza na kuwasalimia Wananchi na waumini baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha na Ikulu] 27/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ( katikati) pamoja na Wananchi na waumini wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kushoto) leo baada ya ibada ya Swala ya Ijumaa Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha na Ikulu] 27/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ( kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi na Mashekhe mara baada ya kutoa nasaha zake Wananchi na waumini katika ibada ya Swala ya Ijumaa Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha na Ikulu] 27/10/2023.