Na Ahmed Mahmoud
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Marry Kapinga kupitia matokeo ya Mkutano wa COP 27 na maboresho kuelekea Mkutano wa COP 28 yatasaidia kuboresha suala Zima la mazingira nchini.
Aidha Serikali teyari imeshaandaa Sera kanuni na miongozo ya utunzaji wa mazingira ya mwaka 2021 kuelekea katika Mkutano wa COP 28 kwa kuanza na Maandalizi kwa ajili ya Mkutano huo.
Ameyasema hayo wakati akifungua kikao cha siku nne cha Maandalizi kuelekea Mkutano wa COP 28 Dubai falme za kiarabu kinacheendelea Jijini Arusha ambapo amesema Mkutano huo unaunganisha nchi zote Duniani kujadili masuala ya Mabadiliko ya tabianchi.
Amesema Tumejipanga Sasa tunapokwenda kule kukutana na wenzetu Dunia nzima tutaenda kuonyesha sisi yale tunayoyafanya mipango yetu ili Sasa tunavyokutana na wenzetu wa Mataifa mengine tunajifunza wenzetu wanakabiliana vipi nao kujua sisi tunakabiliana vipi na Mabadiliko ya mazingira.
Kwa Mujibu wa Kapinga pia tunaweza kushirikiana vipi na Tanzania katika kupambana na Mabadiliko ya tabianchi yote kwa yote tuweze kutatua changamoto za Mabadiliko ya tabianchi Duniani kwani athari zake zinagusa Dunia nzima ndio maana hapa kwetu ili kupunguza uzalishaji wa Joto tukaanzisha mabasi ya mwendokasi.
Awali akiongea katika kikao hicho Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Mazingira Omar Shajak amesema madhumuni ya Kikao hicho ni kujiandaa kwa ajili ya Mkutano wa 28 wa Mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika nchi za Falme za kiarabu Dubai.
Amesema katika kikao hicho Moja ya masuala walioshughulikia ni sekta za Kilimo na uchumi wa bluu ukiangalia Zanzibar Ardhi yetu ni ndogo hatuwezi kujikita sana katika Kilimo hicho kinachotegenewa lakini kwa nchi yetu sera Kubwa ya awamu ya nane ni uchumi wa bluu uvuvi Utalii pamoja na mambo yote yanayohusiana na bahari.
Kwa Upande wake Kaimu Mkurugenzi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Paul Deogratius amesema wapo Arusha kwa ajili ya Mkutano wa Maandalizi ya ushiriki wa Mkutano wa 28 wa mkataba wa Mabadiliko ya tabianchi ambapo tumekuwa hapa kwa siku nne kwa Mkutano kugawanyika kwa siku mbili Mkutano wa wataalamu na
Wataalamu walipata kupitia maandiko mbalimbali kwa siku hizo tatu walijadiliana kupata yatokanayo na Mkutano wa 27 uliofanyika nchini Misri ili kama nchi kuwe na maandiko mbalimbali yaliondikwa na sekta binafsi na tutakuwa na Banda kama nchi kwa vitu mbalimbali tunavionyesha shughuli zinazofanywa na Tanzania katika kukabiliana na changamoto za Mabadiliko ya tabianchi.
Na Ahmed Mahmoud
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Marry Maganga kupitia matokeo ya Mkutano wa COP 27 na maboresho kuelekea Mkutano wa COP 28 yatasaidia kuboresha suala Zima la mazingira nchini.
Aidha Serikali teyari imeshaandaa Sera kanuni na miongozo ya utunzaji wa mazingira ya mwaka 2021 kuelekea katika Mkutano wa COP 28 kwa kuanza na Maandalizi kwa ajili ya Mkutano huo.
Ameyasema hayo wakati akifungua kikao cha siku nne cha Maandalizi kuelekea Mkutano wa COP 28 Dubai falme za kiarabu kinacheendelea Jijini Arusha ambapo amesema Mkutano huo unaunganisha nchi zote Duniani kujadili masuala ya Mabadiliko ya tabianchi.
Amesema Tumejipanga Sasa tunapokwenda kule kukutana na wenzetu Dunia nzima tutaenda kuonyesha sisi yale tunayoyafanya mipango yetu ili Sasa tunavyokutana na wenzetu wa Mataifa mengine tunajifunza wenzetu wanakabiliana vipi nao kujua sisi tunakabiliana vipi na Mabadiliko ya mazingira.
Kwa Mujibu wa Maganga pia tunaweza kushirikiana vipi na Tanzania katika kupambana na Mabadiliko ya tabianchi yote kwa yote tuweze kutatua changamoto za Mabadiliko ya tabianchi Duniani kwani athari zake zinagusa Dunia nzima ndio maana hapa kwetu ili kupunguza uzalishaji wa Joto tukaanzisha mabasi ya mwendokasi.