Picha zikionesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM huku Katibu Mkuu wa chama hicho Ndigu. Daniel Chongolo akisoma ajenda za kikao hicho maturity mengine ni viongozi mbalimbali wakionekana katika picha wakati Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana katika kikao chake maalum, kikiendelea tarehe 22 Oktoba, 2023, jijini Dodoma.