mwenye tabasama ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya alipolakiwa na wanawake wakati anaingia kwenye ukumbi wa Mtakatifu Agnes mjini Namtumbo kwenye kilele cha Jukwaa la Wanawake wa Namtumbo (Namtumbo Women Forum ambapo mamia ya wanawake kutoka katika Mkoa wa Ruvuma wlishiriki kwenye jukwaa hilo.
Katikati mwenye miwani ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoani Ruvuma Mheshimiwa Mariam Nyoka akipolewa na wanawake wakati anaingia kwenye ukumbi wa Mtakatifu Agnes mjini Namtumbo kwenye kilele cha Jukwaa la Wanawake wa Namtumbo (Namtumbo Women Forum ambapo mamia ya wanawake kutoka katika Mkoa wa Ruvuma wlishiriki kwenye jukwaa hilo
Waliokumbatiana watatu ni wabunge wa Mkoa wa Ruvuma ambao ni Mheshimiwa Mariam Nyoka na Mheshimiwa Jakline Msongozi wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mheshimiwa Vita Kawawa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo wakiwa kwenye ukumbi wa Mtakatifu Angnes Namtumbo kwenye kielel cha Jukwaa la Wanawake wa Namtumbo,wengine kulia n ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Ruvuma Elizabeth Ngongi na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya.
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Ngollo Malenya akizungumza wakati anatoa neno fupi kwa wanawake kwenye hafla ya Jukwaa la Wanawake wa Namtumbo kwenye ukumbi wa Mtakatifu Agnes Namtumbo.
Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Jakline Msongozi akiwa na Mbunge mwenzake Mheshimiwa Mariam Nyoka wakizungumza kwenye Jukwaa la Wanawake Namtumbo