Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime akitoa elimu kwa wakaguzi wa Jeshi la Polisi jijini Dodoma leo oktoba 11, 2023 katika ukumbi wa kikosi cha kutuliza Ghasia jijini humo kwa wakaguzi wanaoudhuri mafunzo ya utayariya ya mwezi mmoja yanayoendelea.
Mada alizofundisha ni namna ya kuzungumza mbele ya (Public Speaking) na mahusiano na vyombo vya habari (Media Relation).