Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akifuatana na Ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 05/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair (wa pili kulia) leo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 05/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair, leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake(hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 05/10/2023.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair(wa nne kulia) na Ujumbe wake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza nao leo wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 05/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair, leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu] 05/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akibadilishana mawazo na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair, leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu] 05/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair, leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu] 05/10/2023.