SONGWE
Mapema leo Alhamisi, Oktoba 5, 2023, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Sophia Mjema amewasili Mkoani Songwe kwa ziara ya siku mbili.
Mwenezi Mjema amewasili Songwe, ambapo yeye ni Mlezi kichama wa mkoa huo.

Sign in to your account