Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala ,Jijini Dar es Salaam Lilll Asela Edward wa nne kushoto akiwa na baadhi ya wageni waalikwa wa mahafali hayo ya 10 ya shule ya Msingi.
Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala ,Jijini Dar es Salaam Lilll Asela Edward akifatilia moja ya tukio katika mahafali hayo .
Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala Jijini Dar es Salaam Lilll Asela Edward akiwatambulisha wageni wakati wa mahafali hayo .
Mkugenzi wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala Jijini Dar es Salaam Paul Chrispine Mfungahema akifuatlia mahafali hayo.