Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde akipokea zawadi kutoka kwa Upendo Mtinangi Afisa Udahili kutoka Chuo cha Mamlaka ya Bandari Tanzania cha Temeke jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea kwenye banda la mamlaka hiyo kwenye maonesho ya teknolojia ya Madini yanayofanyika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita.
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde akipata maelezo kuhusu masuala mbalimbali ya udahili kwa wananfunzi wanaotaka kujiunga na chuo hicho kutoka kwa Upendo Mtinangi Afisa Udahili kutoka Chuo cha Mamlaka ya Bandari Tanzania cha Temeke jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea katika banda la TPA kwenye maonesho ya teknolojia ya Madini yanayofanyika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita, kushoto ni Francis Mgaya Mkufunzi wa Mitambo Chuo cha Bandari.
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde akipata maelezo kuhusu masuala ya mafunzo ya uendshaji wa mitambo kutoka kwa Francis Mgaya Mkufunzi wa Mitambo Chuo cha Bandari Tanzania wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita.
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde akipata maelezo kuhusu namna mizigo mbalimbali inavyoshushwa kwenye meli kutoka kwa Mussa Mange Afisa Utekelezaji Bandari ya Mwanza wakati alipotembele katika banda hilo.