Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akitoa hutuba yake katika Balaza la 2 la Maulid Zanzibar lililofanyika leo katika Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Maharibi ambapo Viongozi na waislamu mbali mbali wamehudhuria.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi cheti cha Shukurani Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khali Ali Mfaume wakati hafla ya Balaza la 2 la Maulid Zanzibar lililofanyika leo katika Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Maharibi ambapo Viongozi na waislamu mbali mbali wamehudhuria.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.