RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Maadhimisho ya kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 27-9-2023 na (kushoto kwake) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Sheikh.Alhabib Muhammad Bin Hussein Al-habshy kutoka Nchini Yemen, alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Maadhimisho ya kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 27-9-2023 na (kushoto kwake) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Madrasasatul Fasbir Sabra Jamil kutoka Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja wakisoma Qaswida ya Salamu ya Rais, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Maisara Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W ).(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma ratiba ya Maadhimisho ya kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 27-9-2023, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Alhajj.Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj. Othman Masoud Othman.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Dini na wageni waalikwa wakihudhuria katika Maulidi ya Maadhimisho ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 27-9-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakihudhuria Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
USTADHI Waziri Hakimu Ishaka akisoma Maulidi Barzanji Mlango wa Pili, wakati wa Maadhimisho ya Sherehe ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisa Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi katika kisimamo cha Qiyaam, wakati wa Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 27-9-2023 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu).
WANAFUNZI wa Jumuiya ya Maulidi ya Homu kutoka Mtaa wa Mtendeni Wilaya ya Mjini Unguja, wakisoma Maulidi ya Homu katika Maadhimisho ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)