MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 27-9-2023.(Picha na Ikulu)M
AKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 27-9-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa kuwasili kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja, kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 27-9-2023 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa akizungumza na kueleza ajenda za Kikao, kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 27-9-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar. kilichofanyika leo 27-9-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-9-2023.(Picha na Ikulu)