Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza na mfanyabiashara wa Arusha mjini, alipotembelea kusikiliza changamoto wanazokutana nazo, wakati wa ziara yake katika jiji hilo, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD), jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (kulia), akimsikiliza mfanyabiashara wa Arusha mjini, Bi. Eshmeli Kimei (kushoto), wakati wa ziara yake katika jiji hilo, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD), jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akibandika tangazo (Sticker) la kuhamasisha wananchi kudai risiti halali zinazolingana na kiasi cha fedha walichotoa kila wanapofanya manunuzi na kutoa risiti wanapo uza bidhaa na huduma, wakati alipotembelea wafanyabiashara wa Arusha mjini, na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD), jijini Arusha.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha)