Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakati alipotembelea katika banda hilo katika hafla ya ufunguzi wa maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita leo Jumamosi 23,2023.
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye hafla ya ufunguzi wa maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita leo Jumamosi 23,2023.
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akielekea katika banda la Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakati alipotembelea katika maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita leo Jumamosi 23,2023.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO Dkt. Venance Mwase Meneja Masoko na Mawasiliano wa STAMICO Bw. Geofrey Meena wakiwa wamekaa pamoja na wafanyakazi wa shirika hilo katika maonesho ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita ambapo STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo walipotembelea katika banda la STAMICO kwenye maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita.
MKurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO Dkt. Venance Mwase akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa kikundi cha Wachimbaji wadogo wanawake TAWOMA katika maonesho ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita ambapo STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.