Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.
Viongozi pamoja na Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mitwero Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.
Msanii Ali Kiba akitumbuiza wakati wa Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika eneo la Mitwero Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.
Msanii Harmonize akitumbuiza wakati wa Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika eneo la Mitwero Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023