Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la 78 la Umoja wa Mataifa (UNGA 78) unaofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani. (Tarehe 19 Septemba 2023)