Wakazi wa Jimbo la Mtama atokako Mhe Nape Nnauye wameonesha kuwa na shauku kubwa ya ujio wa Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassani kwani tayari waneshaanza shamla shamla za kumpokea Mhe.Rais Tangu Asubuhi.
Mhe.Rais anatarajia kupita Jimboni humo kwajili ya kuweka Jiwe la Msingi jengo la Halmashauri pia kuwasalimia wakazi wa jimbo hilo.