Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mangaka Wilayani Nanyumbu Mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 17 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika Mangaka Wilayani
Nanyumbu Mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya
muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini
tarehe 17 Septemba, 2023.
Wananchi wa Mangaka Wilayani Nanyumbu wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 17 Septemba, 2023.