Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akizindua mradi wa chujio la maji Mangamba Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi sehemu ya Mtwara Mnivata km 50 tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso wakati wakisikiliza maelezo kuhusu mradi wa Chujio la maji Mangamba Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichota maji mara baada ya kuzindua mradi wa Chujio la maji Mangamba Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi mara baada ya kufungua barabara ya Mtwara- Newala-Masasi sehemu ya Mtwara Mnivata km 50 tarehe 15 Septemba, 2023
[ Muonekano wa Bandari ya Mtwara ambapo Ujenzi wa Gati jipya lenye urefu wa mita 300 ukiwa umekamilika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara kabla ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo katika muendelezo wa ziara yake tarehe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara kabla ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo tarehe 15 Septemba, 2023.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Mkoani Mtwara wakiwa katika uwanja wa Nangwanda Sijaona kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia tarehe 15 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona tarehe 15 Septemba, 2023.
Wabunge, Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Nangwanda Sijaona tarehe 15 Septemba, 2023.