Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Stephen Patrick Mbundi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (atayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Profesa Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Said Shaib Mussa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abdul-Hakim Ameir Issa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Paul Joel Ngwembe kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Mustafa Kambona Ismail kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Wilbert Martin Chuma kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Sharmillah Said Sarwat kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Arnold John Kirekiano kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.