RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa neno la shukrani katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano ya Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 7-9-2023,uliyofungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu).