Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wakandarasi, (CRB), Mhandisi Joseph Nyamhanga, mara baada ya kikao kazi, kilichofanyika jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya Wakala huo, mara baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mameneja wa Wakala huo kutoka mikoa yote nchini, mara baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma.