TECNO CAMON 20 toleo la doodle ni miongoni simu janja ambazo zimezingatia ubunifu wa Sanaa ya mtindo. Muonekano wa nje wa CAMON 20 toleo la Doodle linatofauti kubwa na toleo la awali la CAMON 20.
TECNO CAMON 20 pro ya Doodle nyakati za usiku.CAMON 20 ya Doodle hufyonza mwanga wakati wa mchana na kuiachilia kama umeme wakati wa usiku, na hivyo kuruhusu sehemu ya nyuma ya simu kuonyesha kazi za graffiti za Mr Dooble.
Muundo wa kipekee wa Toleo la Mfululizo wa CAMON 20 la Bw Dooble huifanya kuwa aikoni ya mitindo wakati wa mchana na kuvutia macho wakati wa usiku, na kuifanya kuwa bora kabisa inayochanganya mitindo na Sanaa na hii ndio tofauti kubwa baina ya matoleo haya ya CAMON 20.
Tofauti nyengine ni kuwa CAMON 20 matoleo ya doodle zinakamata mtandao wa 5G wakati toleo la awali 5G ni kwa CAMON 20 pro na Premier tu.
TECNO CAMON 20 Toleo la Dooble wakati wa mchanaVile vile TECNO CAMON 20 Toleo la Dooble ina mandhari iliyogeuzwa kukufaa kwa mtindo wa grafiti ya Bw. Dooble, AR SHOT na AOD, kuleta mshangao zaidi kwa mtumiaji wakati wa uchukuaji picha.
TECNO CAMON 20 pro na TECNO CAMON 20 Premier zinaashiria maana halisi ya ubunifu na mabadiliko ya teknolojia kimuundo na kiutenda kazi, umahiri wa uchukuaji picha katika nyakati mbalimbali ni wenye ubora unaonekana kupitia picha na video za camera ya simu hizi.
TECNO CAMON 20 Pro 5G Dooble ina camera kuu ya Megapixel 64 nyuma (Night Potrait Master), 32MP Selfie Camera, 33W flash charge 5000mAh, 256GB ROM + 8GB RAM. CAMON 20 Pro toleo la kwanza.CAMON 20 Premiere 5G Doodle ina camera kuu ya Megapixel 108 wide angle (Night Portrait Master), 32MP Selfie Camera, 45W flash charge 5000mAh, 512GB ROM + 8GB RAM.
Kwa sasa CAMON 20 series zinapatikana kwa mkopo bila ya riba katika maduka yote ya simu nchini, Tembelea @tecnomobiletanzania au piga namba 0714029870 kwa huduma ya haraka.