RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuwasili katika viwanja vya Markaz Fisabililah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja kuhudhuria Dua Maalumu ya kuwaombea Viongozi na Nchi, iliyofanyika leo 3-9-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani katika chetezo kwa ajili ya kuaza kwa kisomo cha Dua Maalumu ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi na Viongozi pamoja na Nchi, iliyoandaliwa na Wanazuoni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, leo 3-9-2023 na (kulia kwa Rais) Rais Mstaafu wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ikulu).
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitia ubani katika chetezo kabla ya kuaza kwa kisomo cha Dua Maalumu ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi na Viongozi pamoja na Nchi, iliyoandaliwa na Wanazuoni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, leo 3-9-2023 na (kushoto kwake) Mama Siti Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Harusi Said Suleiman.(Picha na Ikulu).
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakishiriki katika Kisomo na Dua Maalumu ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi pamoja na kuiombea Nchi Amani, iliyoandaliwa na Wanazouni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023.(Picha na Ikulu).
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa shukrani zake kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kumalizika kwa Dua na Kisomo Maalumu cha kumuombea yeye na Viongozi pamoja na kuiombea Nchi Amani , iliyoandaliwa na Wanazouni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023.(Picha na Ikulu).