Mamia ya Marafiki wa Rais Samia ambao ni Raia wa nchi ya Japan wameonekana wakiwa na Sare za kupendeza zenye Picha ya Rais Samia na Maneno yanayosomeka “Friends of Samia” yaani ‘Mimi ni Rafiki wa Samia’
Hii ni Ishara Diplomasia ya Rais Samia Duniani imezidi kushika kasi hasa Katika nchi ya Japan ambapo Wananchi hao wameonyesha jinsi wanavyoguswa na Uongozi wa Rais Samia Katika kukahakikisha Uchumi wa Tanzania unakua na ni kitovu cha Amani na Utalii kwa Mataifa yote Duniani.