Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Shamata Khamis, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda la Chuo Kikuu cha Mzumbe katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Prof. Henry Mollel, Ras wa Ndaki ya Mbeya Chuo Kikuu Mzumbe akitoa maelezo kwa Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Shamata Khamis, wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu hicho katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Shamata Khamis, akipokea zawadi kutoka kwa Prof. Henry Mollel, Ras wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Ndaki ya Mbeya wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.