Afisa Mazingira Mwandamizi, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Lungo akitoa maelezo kuhusu elimu ya uhifadhi na utunzaji wa mazingira kwa wanafiunzi wa shule ya msingi Onical wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya jana Jumapili Agosti 6, 2023).
Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Elisha Msengi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika katika Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya jana Jumapili Agosti 6, 2023.
Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Evansia Shirima akitoa maelezo kuhusu elimu ya Muungano kwa kwa wanafiunzi wa shule ya msingi Onical wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya jana Jumapili Agosti 6, 2023.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Elisha Msengi (katikati) akibadilishana mawazo na Watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakati alipofika katika Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya jana Jumapili Agosti 6, 2023.
Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Hanifa Selengu akitoa ufafanuzi kuhusu elimu ya Muungano kwa Wafanyabiashara wa mazao ya kilimo na ufugaji kutoka Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya jana Jumapili (Agosti 6, 2023). (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)