Bi. Habiba Mhina kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari JM Kikwete iliyopo Tunduma Mkoani Mbeya wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Ijumaa (Agosti 4, 2023).
Afisa Maendeleo ya Jamii Mkuu kutoka Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Zanipha Msangi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari JM Kikwete iliyopo Tunduma Mkoani Mbeya wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Ijumaa (Agosti 4, 2023).
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Dynamic ya Jijini Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Ijumaa (Agosti 4, 2023).
Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Lungo akitoa ufafanuzi kwa na wadau na wateja waliotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Ijumaa (Agosti 4, 2023)(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)