Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na watumishi wa Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma.
Sehemu ya watumishi wa Wilaya ya Kwimba, mkoa wa Mwanza wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa Wilaya hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa huyo wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri Simbachawene iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, mara baada ya kuwasili katika ofisi hizo wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa Wilaya hiyo.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (aliyeshika kipaza sauti) alipokuwa akizungumza na watumishi hao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa Wilaya hiyo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, Bi. Hapiness Msanga akiwasilisha taarifa ya hali ya Watumishi katika Wilaya yake kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzungumza na watumishi wa Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma.
Mtumishi wa Wilaya ya Kwimba, Bi. Lyidia Bitaliho akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo mkoani Mwanza iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.