Mtaalamu wa masuala ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bw. Joseph Msumule (wa pili kulia) akitoa elimu ya fedha kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari J.M Kikwete, waliotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”.
Mtaalamu wa masuala ya Sera za Fedha na Uchumi kutoka Idara ya Sera ya Wizara ya Fedha, Bi. Jackline Kayuki (kushoto) akitoa elimu ya fedha kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari J.M Kikwete waliotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”.
Mtaalamu wa mauala ya Uhasibu kutoka Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Kitengo cha Pensheni, Bi. Eugen Jairo (kushoto), akitoa elimu ya masuala ya mirathi na pensheni kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari J.M Kikwete waliotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika katika Viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”.
Mtaalamu wa Masuala ya Bajeti kutoka Idara ya Bajeti ya Wizara ya Fedha, Bw. Emmanuel Matiku, akitoa elimu kwa mkazi wa jijini Mbeya Bw. Joseph Nakomolwa, aliyetembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF-Mbeya)