Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akisalimiana na Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA Bw. Nicodemus Mushi , alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.
TPA wapo tayari kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea katika banda lao na kuendelea kushirikiana na Wakulima katika kufanikisha shughuli zao za kilimo na kuyafikia masoko ya kitaifa na ya kimataifa.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akizungumza na Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA Bw. Nicodemus Mushi , alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA Bw. Nicodemus Mushi , alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akisaini kitabu cha wageni wakati, alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.
Wananchi mbalimbali wa mkoa wa Mbeya wakipata maelezo wakati walipotembelea katika banda la TPA wakati walipotembelea katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.