Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akikagua ujenzi wa minara ya simu jimboni kwake Mtama Kata za Navanga, Sudi na Nachunyu. Minara hii imeanza kuwashwa leo Julai 1, 2023 na kuna jumla ya minara 13 ambayo imaeshajengwa katika jimbo hilo