Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima na mumewe Wakili Methusela Gwajima wakiwasili kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Kimara Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Ibada ya kuwekwa Wakfu Viongozi wa kanisa hilo Julai 30, 2023.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima akizungumza na waamini wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH wakati wa Ibada takatifu ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu Benedict Lyimo na wachungaji wa kanisa hilo lililopo Kimara, mkoani Dar es Salaam Julai 30, 2023.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Benesict Lyimo baada ya ibada ya kuwekwa wakfu Julai 30, 2023.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima akiwa na viongozi wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH lililopo Kimara Dar es Salaam baada ya ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu wa kanisa hilo Benedict Lyimo na wachungaji Julai 30, 2023.
Askofu Mkuu wa Kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Benedict Lyimo akitoa neno baada ya Ibada takatifu ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu. na wachungaji wa kanisa hilo lililopo Kimara, mkoani Dar es Salaam Julai 30, 2023.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Danstan Haule Maboya akitoa mahubiri wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Benedict Lyimo na wachungaji Julai 30, 2023.
Waamini wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH wakifuatilia Ibada takatifu ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu na wachungaji wa kanisa hilo lililopo Kimara, mkoani Dar es Salaam Julai 30, 2023.
………………………
Na WMJJWM, DAR ES SALAAM
Taasisi za Dini zimetakiwa kuimarisha huduma za kimwili na kiroho kwa waumini wao kwa kuanzisha na kuboresha programu zenye shughuli za maendeleo ya kiuchumi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima wakati akizungumza na waamini wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY kwenye ibada ya kuwekwa wakfu Askofu wa kanisa hilo Benedict Felix Lyimo pamoja na watumishi wengine wa kanisa hilo mkoani Dar es salaam Julai 30, 2023.
Dkt. Gwajima ameeleza, ni wajibu wa kanisa na madhehebu mengine ya dini kushirikiana na Serikali katika kukemea mmomonyoko wa maadili na kupiga vita vitendo vya rushwa ya kila aina.
“Kupitia mafunzo mbalimbali yanayolenga uchumi, ujasiriamali, uchumba na ndoa na hata maisha kwa ujumla haya ni mambo muhimu kwa wanawake hususani vijana wanaohitaji sana ujuzi na mwongozo wa kanisa” amesema Dkt. Gwajima.
Aidha, Waziri Dkt. Gwajima amepongeza juhudi za kanisa la THE WELL OF SANCTUARY kwa malezi bora ya watoto kupitia kituo cha kulea watoto mchana.
Awali akizungumza na waamini waliohudhuria ibada hiyo, Askofu Mkuu wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Danstan Maboya ambaye ameongoza zoezi la kuwekwa Wakfu Viongozi wa Kanisa hilo, ameitaka jamii kuheshimu majukumu ya watumishi wa Mungu kwa manufaa yao na Taifa kwa ujumla.
MWISHO
1. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima na mumewe Wakili Methusela Gwajima wakiwasili kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Kimara Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Ibada ya kuwekwa Wakfu Viongozi wa kanisa hilo Julai 30, 2023.
2. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima akizungumza na waamini wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH wakati wa Ibada takatifu ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu Benedict Lyimo na wachungaji wa kanisa hilo lililopo Kimara, mkoani Dar es Salaam Julai 30, 2023.
3. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Benesict Lyimo baada ya ibada ya kuwekwa wakfu Julai 30, 2023.
4. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Gwajima akiwa na viongozi wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH lililopo Kimara Dar es Salaam baada ya ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu wa kanisa hilo Benedict Lyimo na wachungaji Julai 30, 2023.
5. Askofu Mkuu wa Kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Benedict Lyimo akitoa neno baada ya Ibada takatifu ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu. na wachungaji wa kanisa hilo lililopo Kimara, mkoani Dar es Salaam Julai 30, 2023.
6. Askofu Mkuu wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Danstan Haule Maboya akitoa mahubiri wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH Benedict Lyimo na wachungaji Julai 30, 2023.
7. Waamini wa kanisa la THE WELL OF SANCTUARY CHURCH wakifuatilia Ibada takatifu ya kuwekwa wakfu Askofu Mkuu na wachungaji wa kanisa hilo lililopo Kimara, mkoani Dar es Salaam Julai 30, 2023.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI (WMJJWM)