Matendaji Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyesimama) akizungumza leo na Watumishi wa Mahakama hiyo waliohamia Dodoma kwa ajili ya kuungana naye na watumishi wengine ambao walishatangulia.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/07/2-6-2.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/07/2b.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/07/3-5-3.jpg)
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati mstari waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja leo na Watumishi Ajira mpya wa Kanda mbalimbali ambao wamepangiwa Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma kuungana naye na watumishi wengine kuhamia Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati mstari waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja leo na Wajumbe wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania ambao wamehamia Dodoma kuungana naye na watumishi wengine waliotangulia
Picha na Tiganya Vincent na Arapha Rusheke- Mahakama -Dodoma.