Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Kongamano la Shirikisho la Kimataifa la Polisi Wanawake Kanda ya Afrika lililofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dr es salaam, Julai 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Kongamano la Shirikisho la Kimataifa la Polisi Wanawake Kanda ya Afrika lililofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dr es salaam, Julai 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askari Polisi wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Kongamano la Shirikisho la Kimataifa la Polisi Wanawake Kanda ya Afrika lililofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dr es salaam, Julai 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askari Wanawake wa Taasisi ya Kuzuia ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Kongamano la Shirikisho la Kimataifa la Polisi Wanawake Kanda ya Afrika lililofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dr es salaam, Julai 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka Kamishina Jenerali wa Jeshi la Polisi,Camilius Wambura, tuzo hiyo imetolewa kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua na kuthamini mchango wa asakri wa kike na kuwaamini kushika nafasi mbalimbali za uongozi, katika ufunguzi wa Kongamano la Shirikisho la Kimataifa la Polisi Wanawake Kanda ya Afrika lililofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dr es salaam, Julai 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Kongamano la Shirikisho la Kimataifa la Polisi Wanawake Kanda ya Afrika lililofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dr es salaam, Julai 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)