RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi cha Marehemu Mohammerd Hassanali Raza, wakati wa Kisomo cha Hitma na dua kumuombea marehemu kilichofanyika leo 14-7-2023,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Marehemu akiwemo Mtoto wa marehemu Raza, Hassan Mohammed Raza na Wananchi wa mbalimbali wa Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mohammed Hassanali Raza, kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 14-7-2023.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wananchi wakishiriki katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mohammed Hassanali Raza, kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi”B” Unguja Jijini Zanzibar leo 14-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Marehemu Mohammed Hassanali Raza,kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid (kushoto kwake) Muhusin Hassanali na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Chama cha Act-Wazalendo, Wananchi na Viongozi wa Dini Zanzibar wakishiriki katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mohammed Hassanali Raza kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-7-2023 Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).