Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee mkoa wa Dar es Salaam Mzee Hemedi Bakari Mkali, Kiluvya mkoani Dar es salaam, Julai 14, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye msiba huo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee mkoa wa Dar es Salaam Mzee Hemedi Bakari Mkali, Kiluvya mkoani Dar es salaam, Julai 14, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye msiba huo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).