Mwanafunzi wa Shahada ya Sayansi katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na Mifumo. Bw. Frank Philimon akimuonyesha Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, jinsi mfumo wa kufuatilia ujazo wa maji katika matenki unavyofanya kazi (Picha na Noel Rukanuga)
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi (kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika Maonesho ya 47 Biashara ya Kimataifa (sabasaba)
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, akipata taarifa ya huduma za Udahili kutoka kwa Afisa Udahili wa Chuo Kikuu Mzumbe Afisa Bi. Theopista Wilbard.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, (wa pili kushoto) akipata maelezo ya udahili wa papo kwa papo kutoka maafisa Udahili wa Chuo Kikuu Mzumbe alipotembelea banda la Chuo hicho.
Mkurugenzi wa Ukimataifaji na Baraza la Wahitimu Dkt. Lucy Massoi (kulia) akimuelezea Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, shughuli za ukimataifaji na wahitimu zinazoendelea katika maonesho ya sabasaba.
Bw. Chacha Gibutu,akimueleza Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, jinsi mfumo wa Project ECHO unaowawezesha watoa huduma za afya kupata mafunzo ya huduma za afya kwa njia ya masafa.
Mwanafunzi wa Shahada ya Sayansi katika Tehama na Mifumo. Bw. Frank Philimon akimuonyesha Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, jinsi mfumo wa kufuatilia ujazo wa maji katika matenki unavyofanya kazi.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Bi. Lisa Mutakyawa , mbunifu wa Mfumo wa kufatilia malezi ya mtoto majumbani akimueleza Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi,
Frank Msonge akimuelezea Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, (wa pili kushoto) kuhusu Mfumo uliobuniwa kwa ajili ya kuwarahisisha Wahudumu wa Afya kuwafuatilia Wagonjwa wanapokuwa wodini na kuachana na mfumo wa kutumia mafaili.
Mkutubi wa Huduma za Maktaba, Dkt. Kardo Mwilongo akitoa maelezo kuhusiana na huduma za maktaba kiganjani kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi aliotembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi, (wa kwanza kulia) akiangalia Moja wapo ya bidhaa zilizotengenezwa na Mercy Mwambe , Mwanafunzi wa Masomo ya Shahada ya Uongozi wa Biashara katika Ujasiliamali na Ubunifu.(BBA EIM)
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi (kushoto) akiuliza swali kwa n Mhadhiri Msaidizi kutoka Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Mzumbe, Wakili, Benadetha Iteba (wa kwanza kulia) kuhusu huduma za Msaada wa kisheria zinazopatikana katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika maenesho yanyoendelea ya sabasaba. Wa pili kutoka kulia ni Mhadhili Msaidizi wa Chuo Kikuu Mzumbe,Wakil Batulaine Immaculate.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mipango, Fedha na Utawala Prof. Allen Mushi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na na washiriki wa maonesho ya Sabasaba kutoka Chuo Kikuu Mzumbe alipotembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe.