Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza akielekeza Jambo kwa Afisa Uhusiano na Elimu kwa Umma mwandamizi Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Ronerta Feruz wakati wakitoa Elimu kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Mamlaka hiyo kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Saba Saba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza akiwapa maelezo baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda Hilo kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Saba Saba.
Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza na Afisa Uhusiano na Elimu kwa Umma mwandamizi Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Ronerta Feruz wakifurahia Jambo wakatinwalipokuwa wakitoa Elimu kwa wananchi waliotembelea katika banda la taasisi hiyo.
Afisa Uhusiano na Elimu kwa Umma mwandamizi Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Ronerta Feruz akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliofika kwenye banda hilo ili kufahamu shughuli mbalimbali za Mamlaka hiyo.
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Scolastica Afisa Uhusiano wa (TMDA)
Wananchi mbalimbali wakisaini kotabu cha wageni walipotembelea katika banda Hilo.
Picha mbalimbali zikionesha Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza kushoto na Afisa Uhusiano na Elimu kwa Umma mwandamizi Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Ronerta Feruz Julia pamoja na maafisa wenzao wakiwa katika picha ya pamoja katika banda la taasisi hiyo.