WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa huduma ya Bima ya Kiislam ya Takaful na Kampuni Tanzu ya Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 5-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Kamishna Mkuu wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt.Baghayo Abdalla Saqware (hayupo pichani) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Bima ya Kiislam ya Takaful na Kampuni Tanzu ya Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B ” Unguja Jijini Zanzibar leo 5-7-2023 na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar.(ZIC) Ndg.Arafat Ali Haji,Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Serikali, Dini na Vyama vya Siasa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Bima ya Kiislam ya Takaful na Kampuni Tanzu ya Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 5-7-2023, wa kwanza kutoka kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa , Katibu wa NEC ,Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Zanzibar (CCM) Bi. Khadija Salum Ali,Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali na Mwanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Huduma za Bima ya Kiislam ya Takaful na Kampuni Tanzu ya Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 5-7-2023 na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir na (kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) Ndg. Arafat Ali Haji .(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Bima ya Kiislam ya Tafakul na Kampuni Tanzu ya Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 5-7-2023.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Huduma za Bima ya Kiislam ya Takaful na Kampuni Tanzu ya Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 5-7-2023 na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir, Kamishna Mkuu wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt.Baghayo Abdalla Saqware