Naibu Waziri wa Wiara ya Ujenzi Mhandisi Godfery Kasekenywa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA wakati alipotembelea banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijiniDar es Salaam.

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo wakati walipotembelea kwenye banda la Mamlaka ya Bandari TPA wakati alipotembelea banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijiniDar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wiara ya Ujenzi Mhandisi Godfery Kasekenywa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA wakati alipotembelea banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijiniDar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wiara ya Ujenzi Mhandisi Godfery Kasekenywa akipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi waMamlaka hiyo wakati alipotembelea banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijiniDar es Salaam.