/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika uliofanyika leo 29-6-2023 katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Banda la Maonesho la Tanzania, katika maonesho ya Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika, yaliyofunguliwa leo 29-6-2023 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng, katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya banda la Maonesho la Kampuni ya China, baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika, uliofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng leo 29-6-2023 katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiani wa Biashara Kati China na Afrika, uliofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Han Zheng leo 29-6-2023, akiwa katika ziara yake Nchini China.(Picha na Ikulu)