Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) uliomtembelea Ofisini kwake Ngome Jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akitoa zawadi kwa Mkurugenzi wa Maendeleo Jumuishi (CBM) Bwn. Dominique Schlupkothen alipotembelea ofisi kwake Ngome Jijini dodoma.
Mkurugenzi wa Maendeleo Jumuishi (CBM) Bwn. Dominique Schlupkothen akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ambaye hayupo kwenye picha alipomtembelea Ofisi kwake Ngome Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) Nchini Bi. Nesia Mahenge akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga alipomtembelea Ofisi Kwake Ngome jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga na Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) uliomtembelea Ofisini Kwake Ngome Jijini Dodoma.