Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja Watendaji waandamizi wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Faru Graphite Corporation wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo Bw. Alimiya Osman Munge (wa kwanza kulia) mara baada ya kumalizika kwa kikao baina yao kilichofanyika katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne (Juni 27, 2023)
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga akiteta jambo na mmoja wa watendaji waandamizi wa Kampuni ya Madini ya Faru Graphite Corporation muda mfupi mara baada ya kumalizika kwa kikao baina yao kilichofanyika katika Ofisi za Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne (Juni 27, 2023).
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga akizungumza na watendaji waandimizi wa Kampuni ya Uchimbaji madini ya Faru Graphite Corporation mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne (Juni 27, 2023).
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Faru Graphite Corporation Bw. Alimiya Osman Munge akiagana na mmoja wa Afisa waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Agnes Mabina muda mfupi mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao na Watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne (Juni 27, 2023).
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na (Mazingira), Bi. Mary Maganga akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Faru Graphite Corporation, Bw. Alimiya Osman Munge muda mfupi mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao katika OMji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne (Juni 27, 2023).
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dkt. Switbert Mkama akifurahia jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Sarah Kibonde muda mfupi mara baada ya kumalizika kwa kikao baina ya watendaji wa ofisi hiyo na Uongozi wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Faru Graphite Corpoation. Mazungumzo hayo yalifanyika katika Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumanne (Juni 27, 2023).
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu (Muungano na Mazingira) Bi. Mary Maganga (kushoto) akifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama (kulia) pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Sarah Kibonde (katikati) muda mfupi baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao na Uongozi wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Faru Graphite Corpoation katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne (Juni 27, 2023).
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU