Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi wakati alipowasili Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,kuhudhuria katika Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] (kulia) Rais wa Korea Maritime Insititute (KMI) Bw.Kim Jong Deog.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) na Viongozi wengine wakipata maelezo alipotembelea maenesho yanayohusu mazao ya baharini,kutoka kwa Ndg.Ghania Bakar (kulia) wa kikundi cha Ukweli ni Njia Safi cha Bweleo, wakati alipowasili Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,kuufungua Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakipata maelezo alipotembelea maenesho yanayohusu mazao ya Baharini,kutoka kwa Mwenyekiti wa kikundi cha Kilimo hai Ndg.Daudi M.Salum wakati alipowasili Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,kuufungua Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] uliofanyika leo (katikati) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe. Suleiman Masoud Makame .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakiangalia Kaa wakati akipata maelezo alipotembelea maenesho yanayohusu mazao ya Baharini,kutoka kwa Ndg.Ndg.Jafari Shari wa Kikundi cha Chimbachi Group wakati alipowasili Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,kuufungua Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023]
Washiriki wa Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo alipoufungua rasmi mkutano huo wa siku mbili katika ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake leo alipoufungua rasmi Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] utakaofanyika siku mbili katika ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake leo alipoufungua rasmi Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] utakaofanyika siku mbili katika ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar (kulia) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe. Suleiman Masoud Makame,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Abdalla Hamis Ulega na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said .
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Abdalla Hamis Ulega (kulia) alipokuwa akitoa salamu zake katika Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] utakaofanyika siku mbili katika ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,ambapo mgni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto).
Rais wa Korea Maritime Insititute (KMI) Bw.Kim Jong Deog akitoa salamu zake katika Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] utakaofanyika siku mbili katika ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,ambapo mgni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo ameufungua mkutano huo uliohudhuriwa na wadau mbali mbali wa Uchumi wa Buluu.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipunga mikono kuwaaga wadau wa Mkutano wa 9 wa Jukwaa la Uvuvi baina ya Korea na Nchi za Afrika [KORAFF 2023] alioufunguwa leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar .[Picha na Ikulu